MGUNGA NI TIBA YA MARADHI LUKUKI
https://youtu.be/Wjsf5FZ49qU gusa maneno ya rangi ya bluu upate kujifunza elimu zaidi.Mgunga wa aina ya acacia nilotica kila kitu chake kina manufaa maua na mbegu zake hutibu homa n.k.Maganda ya ndani ya magome hutibu maumivu ya koo na kikohozi.Magome yake yanafaa kwa watoto wenye matatizo ya homa yanasaidia usagaji mzuri wa chakula na kutia mwili nguvu,magome na mizizi husaidia kwa wale wenye matatizo ya nguvu za uzazi.Majani yake hutumika kutibu maumivu ya kifua na nimonia.Magome yake hutumika kutibu kisonono na maambukizi njia ya mkojo(UTI).Mizizi hutumika kwa matatizo ya kutosagika chakula vizuri, matatizo ya tumbo kuuma, kisonono na matatizo ya kifua.Magome yake yanasaidia kwa watoto wenye matatizo ya homa yanasaidia usagaji mzuri wa chakula na kutia nguvu katika mwili.Pia majani,vifumba,matawi machanga ya majani na vifumba vichanga ni chakula kizuri kwa wanyama Kama n'gombe,mbuzi katika kuongeza utokaji wa maziwa mengi.Pia wataalamu wengi wametafiti juu ya kutumia mmea huu ku...