Tarasimu ya Kinga na kumkamata mchawi

gusa mandishi haya ya bluu uone video zaidi...Asalaam alykum,watu wengi wamekuwa wa kilalamika kuhusiana na uchawi,hali huwafanya kushindwa kuvumilia mwishowe hujikuta ni wa kuhamahama kila kukicha.Mchawi siku zote hakimbiwi unaweza ukaona unapotoka kuna vitimbi vya wachawi unahama na kuamini uendepo kuna uhafadhalio,lakini unajikuta bado unavita na wachawi na mambo huwa magumu zaidi.Ikiwa unapolala usiku unahisi vitu kutembeatembea juu ya paa fahamu kuwa nyumba yako inaingiliwa na wachawi,unaweza kukuta mapaka hulialia kuzunguka nyumba,watoto kulialia hasa wakati wa usiku,kukosa usingizi na kushitukashituka ama kulala usingizi mzito na kutoa kinachoendelea juu nyumba yako inaingiliwa na wachawi.Pia kuna watu huchanjwa chale mwili mzima ama kusikia mtu anabisha hodi halafu mtu huyo haonekani jua nyumba yako ina ingilika na wachawi,utafanya nini? kujinasua na wachawi?.Jambo la msingi nikumuamini mwenyezimungu utasoma sura zinazo batilisha uchawi kama suratul falaq,nnas,ikhlasw,na Ayat kursiyyu hukimbiza wachawi na majini endapo ukidumu na sura hizo.Leo nimewaletea tarasimu ya maajabu makubwa katika kukukinga dhidi ya majini na wachawi, tarasimu hiyo ina miujiza ikiwa utafuata taratibu zake ni mujarabu kabisa humkamata mchawi.Chakufanya uwe safi chukua 1.Karatasi nyeupe2.Zafarani nyekundu utaiyandika tarasimu hiyo ikiwa siku ya ijumaa baada ya swalat fajiri kisha utaizungushia Ayat kursiyyu utaiweka katika nyumba yako, biashara yako,ma utatembea nayo kwa uwezo wa mwenyezimungu utapata kuona maajabu makubwa utakuwa salama dhidi ya wachawi,wezi,majini,maadui,na mwenyezimungu atakukinga kwa Shari yoyote.Kwa dawa mbalimbali za asili visomo nipigie +255763314206  +255684150612  WhatsApp number +255657929022

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba