Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Asalaam alykum ndugu zangu,nianze kwa kumshukuru mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kunipa wasaa huu niwape faida za mti wa mjafari/mlungu/mlungulungu.Wataalamu wengi wa tiba kwa kutumia mimea wamethibitisha uwezo wa mmea wa mjafari katika kutibu na kutoa Kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali yakiwemo,vidonda vya tumbo,upungufu wa nguvu za kiume ,kifua kikuu(TB),UTI,kaswende,na Malaria. 1.HUTIBU VIDONDA VYA TUMBO   Vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda Cha ukubwa wa angalau nusu sentimita  kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.Chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni bakteria anayefahamika kwa jina la Helicobacterplyori.jinsi ya kutumia,kupata tiba ya vidonda vya tumbo inashauriwa kuchukua majani ya mjafari ,yasafishe Kisha yaponde vizuri.Baada ya kupondeka vizuri,yachanganye na maziwa mgandi(mtindi).Ukishapata mchanganyiko huo,mgonjwa anatakiwa kula kwa kipimo Cha vijiko 2  vikubwa,dakika 10 kabla ya kula mchana ,na dakika 10 kabla ya kula usiku.Tiba hii itumike ndani ya siku 7 hadi 14(kulingana na ukubwa wa tatizo).2.HUTIBU MALARIA jinsi ya kutumia chukua unga wa mjafari kiasi Cha kijiko kimoja Cha chai changanya na maji ya Moto kiasi Cha glasi moja,Kisha mgonjwa anatakiwa kunywa  mchanganyiko huo kwa dozi ya kutwa Mara tatu,yaani asubuhi mchana na jioni glasi moja.3.HUTIBU KASWENDE   jinsi ya kutumia chukua unga wa mjafari kiasi Cha kijiko kimoja Cha chai, changanya na maji ya Moto kiasi Cha glasi moja Kisha mgonjwa anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa dozi ya kutwa Mara tatu, yaani asubuhi mchana na jioni.4.HUTIBU KIFUA KIKUU(TB) jinsi ya kutumia chukua unga wa mjafari kiasi Cha kijiko kimoja Cha chai, changanya na maji ya Moto kiasi Cha glasi moja Kisha mgonjwa anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa dozi ya kutwa Mara tatu yaani asubuhi mchana na jioni glasi moja.5.HUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME    Matatizo ya nguvu za kiume yanaweza kutokan na sababu mbalimbali ikiwemo mlundikano wa mafuta katika mishipa ya damu,Hali inayofanya damu kutosambazwa ipasavyo katika maeneo ya uume na hivyo kufanya uume kushindwa kusimama ipasavyo.Pia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume huweza kusababishwa na magonjwa mengine Kama vile presha, matatizo ya tezi dume,kisukari n.k jinsi ya kutumia chukua unga wa mjafari kiasi Cha kijiko kimoja Cha chai, changanya na maji ya Moto kiasi Cha glasi moja, Kisha mgonjwa anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa dozi ya kutwa Mara tatu yaani asubuhi mchana na jioni glasi moja.6.HUTIBU MAUMIVU YA HEDHI   Mjafari hutumika kutibu maumivu yanayotokana na hedhi kwa wanawake na kwa upande wa wanaume mjafari hutibu ngiri.Jinsi ya kutumia  chukua unga wa mjafari kiasi Cha nusu kijiko, changanya na uji kiasi Cha  kikombe kimoja kidogo ,Kisha mwenye matatizo hayo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo.Hizo ni faida za kutumia mti wa mjafari,kwa wale wenye kusumbuliwa na maradhi mbalimbali,mshipa wa ngiri,nguvu za kiume,kisukari,vidonda vya tumbo,UTI sugu,Presha,majini na uchawi n.k wasiliana nami doctersebuse +255763314206  +255684150612 WhatsApp number+255657929022.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba