Faida ya mti wa mjafari/mlungu
Asalaam alykum ndugu zangu,nianze kwa kumshukuru mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi kwa kunipa wasaa huu niwape faida za mti wa mjafari/mlungu/mlungulungu.Wataalamu wengi wa tiba kwa kutumia mimea wamethibitisha uwezo wa mmea wa mjafari katika kutibu na kutoa Kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali yakiwemo,vidonda vya tumbo,upungufu wa nguvu za kiume ,kifua kikuu(TB),UTI,kaswende,na Malaria. 1.HUTIBU VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda Cha ukubwa wa angalau nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.Chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni bakteria anayefahamika kwa jina la Helicobacterplyori.jinsi ya kutumia,kupata tiba ya vidonda vya tumbo inashauriwa kuchukua majani ya mjafari ,yasafishe Kisha yaponde vizuri.Baada ya kupondeka vizuri,yachanganye na maziwa mgandi(mtindi).Ukishapata mchanganyiko huo,mgonjwa anatakiwa kula kwa kipimo Cha vijiko 2 vikubwa,dakika 10 kabla ya kula mchana ,na dakika 10 kabla ya kula usiku.T...
Comments
Post a Comment