UYOGA NI CHAKULA NA TIBA
Uyoga ni chakula na ni dawa,unapotumiwa kwa chakula kamwe hauleti madhara yoyote bali mtu hupata faida nyingi ambazo hazipatikani katika vyakula vingi tunavyotumia.Katika uyoga kuna kiasi cha kutosha cha protini,kabohaidreti.Lehemu(cholesterol) ambayo husababisha shinikizo la damu haipo kabisa katika uyoga.Kadhalika ni katika protini za uyoga pekee ambako hupatikana aina zote tisa muhimu za amino asidi ambazo ni muhimu katika kila mlo wa binadamu.Uyoga una vitamini mbalimbali.Zikiwemo Thiamine(Vitamin B1)Riboflavin(Vitamin B2)Ascorbic acid(Vitamin C) pamoja na folic acid.Uyoga mkavu una viini lishe vifuatavyo;Protini,Vitamin B,C,D,E,K,Madini calcium, Phosphorus,Chuma na kiasi kidogo Cha mafuta.Utumiaji wa Mara kwa mara wa uyoga hutoa ulinzi wa kutosha dhidi ya magonjwa yanayo sababishwa na ukosefu wa vitamini mwilini,Kama vile beriberi,pellagra na scuvy.Uyoga husaidia kutibu ama kupunguza shinikizo la damu,kisukari,vidonda vya tumbo,saratani,figo,ini,moyo,uvimbe,vidonda vya mwili,kiungulia,vipara,fangasi aina zote,kifua kikuu,kuongeza kinga ya mwili nakuwezesha kupigana na magonjwa mbalimbali,kuyeyusha na kusaga takataka zenye asili ya kaboni.Pia huongeza maziwa kwa kina mama wanao nyonyesha na ni chakula kizuri wa wanaoishi na virusi vya ukimwi(VVU) faida nyingine uyoga ni husafisha mazingira kwa vile uyoga huoteshwa kwa kutumia mabaki yatokanayo mashambani,viwandani,mpunga,randa za mbao, n.k.Kuotesha uyoga kwa kutumia takataka hizo ambazo zingekuwa kero kwa jamii ni kero kwa jamii ni njia mojawapo ya kusafisha na mabaki yakishatumika kuoteshea uyoga yanafaa sana kurutubisha ardhi.TANBIHI:Si uyoga wote unaofaa kwa chakula,kwa sababu aina nyingine ya uyoga una sumu inayoweza kumdhuru mtumiaji hadi kumletea kifo.Hakikisha unakula uyoga unaokubalika na sikila aina ya uyoga.Kupata masomo yangu kwa njia ya video ingia YouTube andika doctorsebuse tiba asili utanipata haraka utajifunza masomo yangu,Kwa dawa mbalimbali za asili nipigie +255684150612 +255763314206 WhatsApp number +255657929022
Comments
Post a Comment