Rozela tiba ya matatizo ya figo
fuata hiyo link upate kujua mengi https://youtu.be/G8BgAWSwqwg maua ya rozela hutumika kuongeza damu,kuimarisha mifupa,kuimarisha utendaji wa ubongo,kuimarisha afya ya ngozi,kuimarisha utendaji wa tumbo,kupunguza shinikizo la damu,kuzia magonjwa ya figo na moyo, kisukari,majani hutumika kwa kikohozi, matatizo ya figo,kupunguza shinikizo la damu na kuimarisha utendaji wa tumbo.Mbegu zake nazo zina faida nyingi kiafya,mizizi yake na majani hutumika kutibu magamba ya miguu,majipu na vidonda vilivyooza nakuufanya vipone haraka pia ukitengeneza rosheni ya majani hufanya vidonda vipone haraka.Mizizi yake hutumika kuongeza hamu ya chakula katika majaribio ya rozela ulionyesha tendo la kuchelewesha ukuaji wa bakteria za kifua kikuu,kwa hiyo kunywa chai hii mara kwa mara kwa tiba yoyote uliyopewa ya kifua kikuu.Ni vema kila familia kupanda katika maeneo yetu ili kuboresha afya zetu.Kwa wale wenye kusumbuliwa na maradhi mbalimbali, kisukari, Presha vidonda vya tumbo, saratani,UTI
sugu, Presha, tezi dume, uchawi, majini,kesi, uzazi, nguvu za kiume wasiliana nami +255684150612 +255763314206 WhatsApp number +255657929022 Facebook natumia doctorsebuse tiba asili.
Comments
Post a Comment