Mti wa mnyonyo na faida zake

fuata link hiyo gusa maneno ya rangi ya bluu ujifunze mengi  Mti wa mnyonyo ni mti wenye manufaa makubwa kutokana na namna unavyotumika katika tiba,Mti huu kuanzia majani yake,mizizi,na mbegu ni tiba.Majani ya mnyonyo ni tiba ya ugonjwa wa kifua kikuu(T.B),hutumika kuleta unafuu kwa mguu ulioteguka,Kikonyo chake ni dawa ya kwikwi.Mizizi yake hutumiwa Kama dawa ya mafindo findo,uvimbe,kuungua,macho ya manjano,kuumwa koo,na magonjwa ya kuambukiza ya kaswende na kisonono.Mbegu zake hutibu ugonjwa wa mifupa,hutibu maumivu yaliyosababishwa na kuungua,kurainisha mashine na mitambo viwandani,hutumika kama njia ya kupanga uzazi,kurekebisha hedhi na kupunguza maumivu,hutibu vidonda,hupunguza chunusi,huimarisha ukuaji wa nywele,huzuia michirizi,hutumika kuimarisha choo.Kwa mwenye tatizo la kwikwi jaza maji kwenye kikonyo,mpe mgonjwa anywe kila baada ya dakika 3 mpaka kwiki iishe.Kwa kuungua meza punje za mti wa mnyonyo kwa maji kiasi Cha glasi moja kwa siku kwa muda wa siku tano.Maumivu ya mgongo pasha majani yake tumia kukanda mgongo wenye maumivu.Kutibu kaswende na kisonono,ponda mizizi ya mti wa mnyonyo,Kisha chemsha na tumia kunywa glasi moja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 7.Kuondoa kondo la nyuma, mizizi ya mti wa mnyonyo ikitafunwa na mama mjamzito yafaa kwa kutoa mfuko wa uzazi(kondo la nyuma) kwa urahisi na usalama zaidi.Majani ya mnyonyo yanaweza kutumika Kama tiba ya ugonjwa wa kifua kikuu(T.B),kukanda ili kuondoa maumivu na majani haya yakifingwa kwenye mguu unaouma huleta unafuu hasa kwa maumivu yanayokuja baada ya kuteguka,pia hutumika kutibu uvimbe kwa wanyama.Kwa wakina mama  wanaotaka kupanga uzazi wameze mbegu mbili za mnyonyo husaidia kupanga uzazi bila madhara.Kwa dawa za asili za uzazi,nguvu za kiume, kisukari, vidonda vya tumbo,mvuto wa biashara n.k wasiliana nami +255763314206  +255684150612 WhatsApp number +255657929022.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba