Mchanganyiko wa asali,mdalasini,na tangawizi

fuata hiyo link utajifunza masomo yanguhttps://youtu.be/G8BgAWSwqwg Tafiti nyingi za wataalamu mbalimbali kutoka nje zimebainisha kuwa unaweza kujitibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia kinywaji maalumu kilichotengenezwa kwa kuchanganya Tangawizi,Mdalasini,Asali na maji ya Moto.Kwa mujibu wa wataalamu hao,kinywaji hicho maalumu kinaweza kutumika kutibu na kutoa Kinga dhidi ya shinikizo la damu la juu, kisukari,pumu,na nguvu za kiume.Jinsi ya kutengenezwa chukuwa Asali mbichi,unga wa Tangawizi,unga wa Mdalasini pamoja na maji,baada ya kupata mahitaji hayo,chemsha maji yako yawe ya Moto,Kisha chota maji hayo kiasi Cha kijiko kimoja cha chai tia katika maji hayo.Baada ya kutia nia unga wa mdalasini,chota unga wa Tangawizi,kiasi Cha kijiko kimoja kidogo tia katika maji hayo na mwisho chota asali kiasi Cha kijiko kikubwa tia na uchanganye pamoja vizuri.Tanbihi Tiba hii isitumiwe na mwanamke mjamzito kwa sababu huweza kusababisha atahari kwa kuchanga kilichopo tumboni au hata kusababisha mimba kutoka.Kwa dawa mbalimbali visomo piga simu +255684150612  +255763314206 WhatsApp number +255657929022 YouTube natumia doctorsebuse tiba asili utanipata haraka utajifunza masomo yangu usisahau kusubscribe kulike na kukomenti.


Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba