TIBA YA MBAAZI

kwa elimu ya tiba fuata hiyo link https://youtu.be/G8BgAWSwqwg alykum ikiwa una matatizo mbalimbali wasiliana nami,mmea huu unajulikana Kama cajanus cajan katika sayansi ya mimea au pigeon pea tree kwa jina la kingereza una misombo ya Alkaloids,Flavonoids,Tannis,Terpenoid,phenol,steroid,cardiac,ambayo ina sifa ya kupambana na magonjwa. 1.HUTIBU SICKLE CELL chukua majani ya mbaazi machanga yaoshe katika maji Safi ambayo unahisi baada ya kuchemka utapata glasi mbili,kunywa glasi moja asubuhi na jioni 2.HUTIBU UKOMA Chukua majani yaliyo laini ama machanga yakaushe kivulini yasiguswe na jua Kisha yasage upate unga wake.Baada yakupata unga huo,chota kwa kipimo Cha kijiko kikubwa , changanya katika maji vuguvugu kiasi Cha glasi moja.mgonjwa anywe mchanganyiko huo kwa dozi ya kutwa Mara tatu yaani asubuhi mchana na jioni 3.HUTIBU BAWASIRI jinsi ya kutumia chukua majani machanga ya mmea huu kwa kuchanganya na aina zingine za mboga za majani Kama sukuma wiki na mchicha,pika pamoja na kuliwa kila siku ili kutibu bawasir4.HUPUNGUZA UZITO NA KITAMBI Jinsi ya kutumia chukua mbegu uzipike Kama maharage kunywa supu yake na kula mbegu zake kiasi Cha bakuli moja kila siku mpaka utakapo ona matokeo a kupungua kadri ya hitaji lako.5UPUNGUFU WA DAMU(ANEMIA)Chukua majani ya mbaazi machanga yaoshe chemsha katika maji kwa muda wa dakika 15,Kisha muhusika anatakiwa kunywa maji hayo kwa kipimo Cha glasi moja asubuhi na jioni lakini pia anatakiwa kula mbegu zake kila siku 6.HUTIBU MANJANO/HOMA YA INI jinsi ya kutumia Chukua majani yake Pika Kama mboga zingine zinavyopikwa kila wakati ili kuondoa minyoo mwilini.7.HUTENGENEZA BIKRA Jinsi ya kutumia chukua majani yake yatwange weka na maji kidogo vaa Kama pedi ndani ya wiki moja utaona mabadiliko.8.MVUTO WA BIASHARA  chukua majani yake tumia kudekia katika biashara yako 9.Kinga dhidi ya magonjwa chemsha majani yake kunywa kwa muda wa siku Saba 10.HUZIMA KESI chukua majani yake tafuna nenda kwenye kesi 11.HULETA HAMU YA TENDO LA NDOA Chukua majani yake changanya na mafuta ya zaituni weka sehemu za siri vaa.Kwa ufupi hizo ni baadhi ya faida zinazotokana na mti wa mbaazi,ikiwa unahitaji dawa mbalimbali za asili kwa matatizo ya uchawi, majini, nguvu za kiume, uzazi, mapenzi, biashara wasiliana nami +255763314206  +255684150612 WhatsApp number+255657929022 YouTube natumia doctorsebuse tiba asili utanipata haraka utajifunza masomo yangu usisahau kusubscribe kulike na kukomenti Facebook natumia doctorsebuse tiba.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba