Dawa ya kukuza uume
Asalaam alykum,kumekuwa na maswali mengi nimepata kuulizwa kuhusiana na tiba ya moja kwa moja ya kurefusha uume.Wengi wamekiwa wakidanganywa nakujikuta nakupoteza pesa nyingi bila kuona mafanikio yoyote,Kiukweli miti ipo ya kurefusha uume na kukua ila ukuaji wake niwataratibu nakuufanya usimame balabala.Kuna watu wameathirika kwa muda mrefu na kujichua nakuufanya mishipa ya uume kulegea na kushindwa kusimama inavyotakikana na mwisho wa siku watu hawa hushindwa kumudu vizuri tendo la ndoa na muda mchache humaliza bila kufika kileleni na kushindwa kuendelea tena.Kuna sababu nyingi ukiachana na kujichua, ikiwemo kuwa na msongo wa mawazo,kula vyakula vya mafuta,kuugua kwa muda mrefu,kufungwa kichawi,kuwa na jini mahaba n.k.Kuna tofauti kati ya tatizo la nguvu za kiume na ukosefu wa nguvu za kiume,tatizo la nguvu za kiume humfanya mtu ashindwe kushiriki tendo la ndoa kabisa, upungufu wa nguvu za kiume hapa mtu anao uwezo wa kushiriki tendo la ndoa lakini hushindwa kumudu vizuri tendo kwa mu...