Faida za mafuta ya zaituni
Asalaam alykum kila sifa njema ni za mwenyezimungu aliyesema WATININI WAZAITUNI(Tafsiri yake ni Naapa kwa tini na zaituni Kisha akasema Tena katika SURATUL NUR Aya ya 35 Mwenyezimungu muongozo wake ni Kama nuru ya mbingu na ardhi.Mfano wa muongozo wake anaongozea waja wake ni Kama shubaka lenye kuwekwa ndani yake taa,taa ile imo katika tungi la chemli tungi lile ni Kama nyota in'garayo ,inayowashwa taa hiyo kwa mafuta yanayotoka katika mti uliobarikiwa wa MZAITUNI usio upande wa mashariki wala magharbi ukawa unapigwa na jua sana linapotoka na linapo pinduka yanakaribia mafuta yake kun'gaa ingawa Moto haujayagusa ,nuru juu ya nuru mwenyezimungu humuongoza kwa muongozo wake amtakaye,na mwenyezimungu hupiga mifano kwa watu ,na mwenyezimungu ni mjuzi wa kila kitu.Kisha mtume Muhammad s.w alisema KULLU ZAITA WADDAHINU BIHI FAINAHU SHIFAU MIN SABIINA DAAH MINHAAL-JUDHAAM(Tafsiri yake Kuleni mafuta ya zaituni na mjipake na mjichue kwa hakika ndani ya mafuta hayo kuna tiba ya magonjwa sabini likiwemo gonjwa la ukoma.MAFUTA YA ZAITUNI NI TIBA YA MARADHI SABINI 1.Maradhi ya uchawi na majini 2.Maradhi ya maumivu ya tumbo,kichwa ,miguu,mikono,vidonda,maumivu ya misuli na mishipa.3.Kuondosha kesi matatizo ya kimaisha ,magonjwa na ufakiri 4.Ugonjwa wa ukosefu wa nguvu za kiume 5.Ugonjwa wa maumivu ya mgongo ,kiuno,miguu na mishipa 6.Ugonjwa wa ngozi 7.Ugonjwa wa kupoteza nuru ya macho 8.Ugonjwa wa kukakamaa mikono katika viganja 9.Huongeza nguvu ndani ya mwili 10.Hutibu ugonjwa wa Bawasiri 11.Hutibu ulegevu wa mwili na kuondosha uchovu 12.Tiba ya donda la nje ya mwili 13.Tiba ya watoto wanaoshitukashituka usiku 14.TIba ya maradhi ya kusahau na kupoteza kumbukumbu 16.Tiba ya kukuza zakari 17.TIba ya maradhi mengi ndani ya mwili .Kwa mwenye kusumbuliwa na maradhi ya mashetani chukua mafuta ya zaituni Kisha yasomee ruqya kwa muda wa siku tatu kabla ya kuyasomea uyachangaye na mafuta ya habati soda baada ya kumaliza kuyasomea utampa magonjwa ajipake kwenye utosi asubuhi na jioni kwa muda wa siku 14 ajipake mwili mzima afanye hivyo na wakati wa kulala,inshallah akidumu kufanya hivyo jini huyo ataondoka mwenyewe bila hata ya kusomewa kisomo chochote.Pia unaweza kuchukua mafuta ya zaituni na mafuta ya habati soda ujazo sawa Kisha changanya katika mafuta hayo unga wa udi sulbi,baada ya hapo yasomee SURATUL baqara nzima.Mgonjwa ayatumie mafuta hayo kujipaka mwili mzima asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 na atachukua kijiko kimoja Cha mafuta hayo anywe katika kikombe kimoja Cha maji Moto au chai asubuhi na jioni.Kwa kuondosha matatizo mbalimbali jipake mafuta ya zaituni ukiwa umeoga na kutawadha Kisha utamswalia mtume Muhammad s.w mara tatu.Ugonjwa wa ukosefu wa nguvu za kiume chukua mafuta hayo Kisha changanya na asali mbichi kula asubuhi na jioni kabla ya kulala chochote na utafanya hivyo kabla ya kulala.Kwa maradhi ya kukakamaa mikono chukua unga wa khardal kiisha changanya na mafuta ya zaituni Kisha tumia kujipaka kwenye viganja tatizo hilo litakwisha.Ugonjwa wa kupoteza nuru ya macho chukua sahani safi Kisha andika Aya ya 35 kwa zafarani utaiyandika Mara tatu Kisha kombe hilo changanya na mafuta ya zaituni tumia kupaka asubuhi na jioni inshallah utapona.Ugonjwa wa ulegevu wa mwili chukua dawa inaitwa koto,Kisha chukua ubani mushtaka changanya weka kwenye sufuria chemsha dawa hiyo utatumia kunywa kikombe kimoja Cha kahawa asubuhi kabla ya kula chochote tumia Mara moja kwa siku.Maradhi ya Bawasiri chukua mafuta ya zaituni Kisha tumia kujipaka sehemu ya haja kubwa na utatumia kunywa glasi ya maji mara tatu kwa siku.Kwa hakika mafuta ya zaituni hutibu maradhi mengi hayo ni baadhi ya maradhi yanayotibu mafuta ya zaituni,Kwa wale wenye kusumbuliwa na maradhi ya mashetani,kisukari, uzazi, nguvu za kiume,presha,Moto kupanuka,tezi dume,UTI sugu, matatizo ya nyota Mambo yako hayaendi,una kesi inakukabili,Kumrudisha na kumtuliza mume,visomo vya Kinga na unahitaji dawa za asili nipigie simu doctorsebuse tiba asili +25568150612 +255763314206 WhatsApp number +255657929022 YouTube natumia doctorsebuse tiba asili utanipata haraka utajifunza masomo yangu usisahau kusubscribe kulike na kukomenti.
Comments
Post a Comment