Tiba ya kiharusi

Asalaam alykum kwa wale wenye kusumbuliwa na maradhi ya kiharusi kuna dawa ambazo ni mujarabu katika kutibu maradhi hayo.Endapo unasumbuliwa  na maradhi haya chukua dawa hizi zipo katika makundi mawili kuna za kunywa na za kupaka,tuangalie kundi la Kwanza la dawa za kupaka kuna 1.Kaumun aswad2.Kaumun abyadh 3.Shabu 4.Ambari 5.Kuzbara 6.Zamda 7.Karafuu 8.Karkam, halititi 9.Kungu manga 10.Hardal  upike dawa hizo utachanganya na mafuta ya nazi utampaka magonjwa wako.Kundi la pili  ni dawa za kunywa   A.Haljani B.Akarkarha C.Shamar D.Suful-aswad E.Bunfasji Funga kwenye  kitambaa na upike ukimaliza mpe anywe magonjwa wako kwa uwezo wa mwenyezimungu atapona kabisa .Kwa dawa mbalimbali za asili visomo tiba ya maradhi haya na mengineyo utanipigia  simu +255763314206   +255684150612   WhatsApp+255657929022  YouTube natumia doctorsebuse tiba asili search utanipata kwa haraka Facebook doctorsebuse  Instagram doctorsebuse tiba asili Twitter doctorsebuse tiba asili.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba