Uvimbe kwenye kizazi(fibroids)
fuata hiyo link gusa maandishi ya bluu upate kujua mengi.Tatizo la uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ni uvimbe unaojitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba uitwao uterasi.Uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi hufanya wanawake kupata maumivu makali wakati wa hedhi.Chanzo Cha uvimbe hakijulikani,sababu za ugonjwa huu 1.Kurithi 2.Kuongezeka kwa vichocheo vya projesteroni na estrogen kuzidi kiwango mwilini 3.Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu 4.Lishe 5.Umri 6.Uzito mkubwa na kitambi 7.Matumizi ya njia za kupanga uzazi 8.Kubalehe mapema.Pia kuna dalili ukiwa nazo wewe mwanamke wahi hospital kupata huduma,zifuatazo ni dalili za ugonjwa huu A.Kukosa choo B.Hedhi nzito C.Maumivu ya nyonga D.Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa E.Kupata hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia Saba na zaidi.DAWA ZA KUTIBU UVIMBE kuna dawa mbalimbali za asili hutibu tatizo hili 1.ZABIBUBATA chukua unga wake kijiko kidogo na kijiko kidogo Cha asali changanya na ulambe tumia asubuhi kabla ya kula chochote 2.SIKI YA TUFAA chukua vijiko viwili vikubwa vya siki ya tufaa na uchanganye na maji glasi moja kunywa asubuhi na jioni kwa muda wa siku 15 3.MAFUTA YA ZAITUNI kunywa kijiko kimoja Cha mafuta ya zaituni sambamba na juisi ya limao asubuhi kabla ya kula chochote 4.MAFUTA YA NYONYO weka mafuta ya NYONYO ya uvuguvugu kwenye bakuli chovya kitambaa mpaka yahamie kwenye kitambaa kunjakunja kitambaa na uweke juu ya tumbo la mfuko wa rambo Kisha weka chupa yenye maji ya moto juu yaki ilaze na uiache kwa siku moja endelea na zoezi hilo kwa siku 5 kisha pumzika kwa siku mbili,rudia hivyohivyo 5.MAZIWA YA UVUGUVUGU ongeza kijiko kimoja Cha unga wa giligilani na kijiko kimoja cha unga wa binzari tikisa vizuri mchanganyiko huo na unywe kutwa mara2 .Hizo ni baadhi ya dawa zenye kutibu ugonjwa huu kwa wenye matatizo mbalimbali iwe ugonjwa huu,ama maradhi mengine unahitaji dawa za uzazi,nguvu za kiume,kisukari,tezi dume, n.kWasiliana nami +255684150612 +255763314206 WhatsApp number +255657929022 YouTube doctorsebuse tiba asili.
Comments
Post a Comment