Dalili za kujua nyumba yenye wachawi
Asalaam alykum uchawi umekuwa tatizo na kuleta madhara makubwa sana kwa watu,moja ni kuwafanya watu waishi katika maisha ya tabu na kukosa amani na kupelekea wale walokosa imani kukufuru,hii inatokana na madhila wanayo pata na kumaliza pesa nyingi bila mafanikio nakujikuta wanakata tamaa.Kuna uchawi wa aina nyingi japo si mada ila nitoe faida kwa msomaji aweze kutambua,uchawi wa kuteswa na kuchukuliwa nyota isiombe ukakumbwa na uchawi wa aina hii katika maisha yako utalia sana na utakuwa ni mtu wa kuhangaika katika maisha yako na itakuwa vigumu kufanikiwa katika kazi zako, uchawi huu humfanya mtu ateseke hapa hupata maradhi ya uchawi atahangaika mtu bila mafanikio kwa muda mrefu mpaka ampate mganga aliye na uwezo lasivyo atahangaika sana maradhi yake yatakuwa yakupanda na kushuka na yasiyo eleweka.Uchawi huu humfanya mtu akose mafanikio na kuingia katika madeni kila wakati na atafanya kazi lakini hatoona pesa zinako kwenda atapata lawama mpaka kwa wazazi watamlaumu na atakuwa mtu wa kulaumiwa kila kukicha,mikosi itamtawala kila atakachofanya hakiendi usiombe ukumbwe na uchawi huu utahangaika sana.Hebu tuone dalili za kujua nyumba yenye wachawi 1.Nyumba kukosa maelewano baina ya mke na mume kila wakati ugomvi usio na msingi 2.Nyumba kuwa na mazonge mapaka kulia,vitu kutembeatembea,na nyumba kuwa nzito 3.Mifugo kufa ovyo bila sababu 4.Tumbo kuwa Kama mjamzito 5.Mwili kutetemeka upande mmoja 6.Kuota unakula usingizini 7.Mtoto kulia na kuweweseka usiku 8.Kuota unafanya kazi 9.Kupata usingizi mzito nakutojua kinachoendelea,kuwa mvivu na kuumwa kwa kupokezana ndani ya nyumba 10.Kuwa na ugonjwa usiooneka hospital 11.Ugonjwa unahama kila unapo tibiwa n.k hizo ni baadhi ya dalili ya nyumba yenye wachawi nyumba yako ikiwa na dalili moja wapo kati ya hizo unapaswa kumuomba mwenyezimungu akuepushie wachawi kufanya vitimbi katika nyumba yako chukua halititi,bukhuri Shari,mlangamia,kivumbasi,chumvi mawe,kishinda uchawi changanya choma katika nyumba yako utafukuza wachawi na majini,soma suratu Yasin,muadhatyn,ayatu qursiyyu na suratu yusuph ni Kinga kubwa dhidi ya wachawi na majini.Kwa wale wenye matatizo ya majini, uchawi,Mambo yao hayaendi,UTI sugu, kisukari,Presha,tezi dume,nyota,kesi,uzazi n.k piga +255763314206 +255684150612 WhatsApp +255657929022 YouTube doctersebusetibaasili
Comments
Post a Comment