Dawa za maajabu katika tiba
gusa maandishi ya rangi ya bluu uone video zaidi..Asalaam alykum,ndugu mfuatiliaji wa blog yangu ikiwa una swali lolote unahitaji ushauri,tiba na dawa zangu za kila aina weka maoni yako ama nipigie simu na upate msaada.Maada iliyoko ni dawa zenye maajabu katika tiba,nimeweka somo hili kuelezea uzoefu wangu katika tiba na nimepata kujua madawa ya kila aina na maajabu yake,Ilinichukua muda kuamini baadhi ya dawa kwa kuwa nilikuwa zisifahamu ila baada ya kuzifanyia kazi nikagundua kuwa kuna miti na ndani ya miti kuna Siri kubwa sana endapo utapata elimu ya miti nakujua sharti zake wakati wa kuichimba miti hiyo na namna ya kutumia kwa kweli kuna maajabu makubwa sana,mfano kuna dawa za kisukuma ni dawa zenye maajabu makubwa na hufungua majambo ya mtu ikiwa amefungwa na wachawi na amehangaika kila sehemu bila kupata matokeo mazuri.Kuna dawa ya kisukuma inaitwa Italigula ni dawa nayo ikubali kwa kufungua kila aina ya ugonjwa katika mwili,dawa hii ikiwa mtu amerogwa asiolewe asizae asipate mafanikio,kukosa wateja katika biashara,kakanyaga uchawi na hujikuta miguu kumuwaka moto,kufa ganzi,na kuvimba.Chakufanya kwa aliyekuwa na uchawi ndani ya mwili chukua dawa hii utaigawa mara mbili nyingine kunywa kwa maji moto asubuhi mchana na jioni,nyingine utaichukua na kuichanganya na mchanga wa njia panda saba,weka na dawa inaitwa nkanya,itemelo,Kayelayela,Shepashepa,baraka,itinginya,chababila,mkurungu,tumia kuoga kwa maji moto asubuhi mchana na jioni.Endapo biashara yako imefungwa hupati wateja chukua nkanya weka na italigula,chumvi mawe changanya na maji mwaga katika biashara yako kufungua njia zilizofungwa Kisha utachukua runduta,kwiyaman'gombe,kalilila,babanirwa,mwita,kasela choma kwenye biashara yako utaona maajabu utakuwa na wateja wa kutosha na kujikuta mpaka unakosa muda wa kupimzika kutokana na kuzidiwa na wateja.Kwa yule mwenye miguu kuwaka moto,kuvimba,kufa ganzi chukua italigula,kitachan'gwa changanya mpe aoge na italigula kidogo ichanganye na gome la mgomba Kisha lipashe kwenye Moto na akanyage,na uchukue dawa ya kisukuma inaitwa lipoja la mweli chemsha maji changanya na dawa hiyo Kisha utaweka maji kwenye beseni utampa mgonjwa akanyage miguu na uchukue dawa inaitwa nkamile ichanganye na maji tumia kumkanda atapona mgonjwa huyo.Ikiwa unataka kupata mvuto wa ajabu na kupandisha nyota yako uvume,upendwe na kila mmoja chukua Baraka,italigula,itemelo,izunya,msulula, chababila,kumbuja,chitalala,gwagwa,mvumo,mwenda, kalilila,nseki,kasela,nyota ya jaha,muhosha fedha, changanya dawa hizi utaoga dawa zako tumia mafuta ya mkunazi yachanganye na mafuta ya mkunazi yawe mafuta yako ya kupaka ndani yake uweke dawa inayoitwa baraka, ichanganye na itemelo ndugu yangu kwa mchanganyiko wa dawa hizi utakuwa na mvuto wa ajabu utakubalika kila sehemu na mambo yako yatakuwa mazuri kwa uwezo wa mwenyezimungu.Hizo ni baadhi ya dawa zenye maajabu makubwa kwa wale wenye matatizo mbalimbali mnahitaji visomo,dawa za kisukuma kwa bei ya jumla na rejareja nipigie simu +255684150612 +255763314206 WhatsApp number +255657929022 Email doctershebughe@gmail.com YouTube natumia doctorsebuse tiba asili Facebook doctor sebuse Instergaram na Twitter natumia doctersebuse tiba asili.
Comments
Post a Comment