NJIA YA KUFUNGUA MAMBO YAKO
Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu Kama kawaida siachi kuwapa faida natoa kwa moyo wote wale wenye kusumbuliwa na vifungo vimeathiri mambo yao iwe ni biashara, mahusiano n.k ✍️Kuna watu wanafungua biashara halafu wanaishia kufunga kutokana na kukutana na vihoja mbalimbali ama kukosa wateja katika biashara zao. Unakuta mtu anafanya biashara ya mtaji wa milioni tano kuanzia asubuhi mpaka jioni anauza alfu 2 au asiuze kabisa.Mwingine anafanya kazi lakini haoni pesa katika kazi yake hana maendeleo yoyote bali nikuhangaika na kutumia juhudi nyingi lakini wapi. Kuna wengine wapo kwenye mahusiano lakini mahusiano yao yamekuwa hayaeleweki ahadi nyingi hakuna ukamilifu wake,kama ni kuolewa itakuwa maneno tu hakuna vitendo juu ya hilo. Kuna watu wanahangaika kutafuta kazi kila siku lakini imekuwa hadithi hakuna kufanikisha katika hilo. Kuna watu wamehangaika sana katika maisha yao juu ya kutokana na mabalaa waliyokuwa nayo lakini hakuna mafanikio yoyote. πLeo nakupa faida kubwa utakuja kuni...