FAHAMU MTI WA MSAMBILA


Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu wale wanaotaka dawa hebu muwasiliane nami mpate dawa za nguvu za mvuto wa ajabu,nguvu za kiume, uzazi, kisukari,madonda ya tumbo,dawa za Kinga n.k 

👉Mti huo pichani unaitwa  Msambila  ni mti wa nguvu kabisa una kazi nyingi sana katika tiba ikiwemo,

 1.Kuondosha uchawi wa kulishwa
 tumboni,

2.Tiba ya mtoto aliye bemendwa,

3.Tiba ya mama aliyehangaika miaka na miaka kwa ajili ya ujauzito

4.Hupandisha CD4 haraka

👉Ikiwa kuna mtu anasumbuliwa na uzazi chukua mzizi ya huu mti wa Msambila,Mfubata,Mnengonengo,Mwembe pori,Mpilipili/mngando,Msolasi,mbuyu,mshenene,Mtalali twanga kwa pamoja,kwa mwenye kusumbuliwa na uzazi atakunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni haitochukua mwezi mmoja atashika ujauzito.

✍️Kwa aliye rishwa uchawi chukua 👉 mizizi ya Msambila👉 Mnengonengo 👉Mfubata  mchemshie mpe anywe hakika atatapika ama kuharisha.

✍️Kwa mtoto aliye bemendwa chukua mizizi yake, mizizi ya mfubata, mizizi ya Mnengonengo loweka muogeshe na mpe anywe kidogo hakika utaona ajabu ndani yake.
✍️Kupandisha  CD4 chemsha mchanganyiko huuo hapo juu 🖕 Kisha chemsha lita moja na nusu mpka ibaki lita moja tumia kunywa kikombe kimoja asubuhi, mchana na jioni.

doctorsebuse tiba asili
0765840681
0763314206
0684150612
Watsapp number +255657929022.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba