NAMNA YA KUTOA VIFUNGO VYA KICHAWI
TIBA KWA ALIYE FUNGWA KICHAWI
Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu niwashukuru nyote mnaoendelea kufuatilia masomo yangu na mrejesho wa kutosha juu ya kile nachokitoa kupitia page zangu mbalimbali,Instagram, YouTube na Tiktok alah awalipe ππππ.Leo tuangalie njia mujarabu ya kumfungua aliye kuwa na vifungo kwanza,yatupasa tujue dalili ya mtu aliye kuwa na vifungo.Zifuatazo ni dalili za mtu aliyekuwa na vifungo
1.Kwanza ni kukosa matumaini katika kile anacho kifanya na kujawa na hofu 2.Kukosa maelewano na watu ikiwemo mke/mume na kuwa na hasira za karibu 3.Mambo yake nusunusu hayakamiliki na ahadi zisizo timia 4.Kipato kuwa Cha mashaka na kikipatikana huisha haraka 5.Kukosa kazi kila anapoenda kuomba na ana sifa juu ya kazi hizo 6.Kushindwa kupata ndoa na kutodumu katika mahusiano 7.Kukosa wateja katika biashara hatimaye hufunga kibanda 8.Kushindwa kukumbuka kile anacho kiota na hakumbuki kabisa 9.Kuwa na mawazo na kukosa amani muda wote 10.Kupata maumivu ya mwili na yenye kuhamahama na homa zisizoisha hali ya kuwa hospitali hakuna ugonjwa n.k
NAMNA YA KUMSAIDIA ALIYEFUNGIKA MAMBO YAKE
Njia zipo nyingi za kumfungua aliyefungwa kichawi kwa leo nitaeleza namna ya kutumia suratul-kafirun kumsaidia mtu huyo.Unachotakiwa kukifanya utaandika sura hii katika mayai-freshi matatu kwa zafarani kisha utayasomea sura hii mara 100 Kisha baada ya kuyasomea andaa beseni la maji na utamwambia avunje mayai hayo kwenye beseni kwa manuizi ya kuvunja kila aina ya uchawi aliyofanyiwa ikiwa amefungwa kaburini,njia panda,ama kwenye mti mkubwa kifungo hicho kiondoke kwa haki ya sura hiyo na kwa dawa zitako changanywa na mayai hayo atakapo oga iwe ni asbabu ya kufunguka kwa majambo yake.Baada ya hapo utachukua mfunguo,italigula, halititi,matoro ya njia panda,marashi rose, kitachan'gwa, muharaka,mgimbu,msaka uchawi,takataka za baharini badaa ya kuchanganya dawa zote ataoga njia panda ataoga njia panda kwa hakika atafungukiwa majambo yake.
Dr sebuse call
,π0765840681
0763314206
0684150612 Watsapp number
+255657929022
Comments
Post a Comment