FAHAMU MTI WA MSAMBILA

Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu wale wanaotaka dawa hebu muwasiliane nami mpate dawa za nguvu za mvuto wa ajabu,nguvu za kiume, uzazi, kisukari,madonda ya tumbo,dawa za Kinga n.k ๐Mti huo pichani unaitwa Msambila ni mti wa nguvu kabisa una kazi nyingi sana katika tiba ikiwemo, 1.Kuondosha uchawi wa kulishwa tumboni, 2.Tiba ya mtoto aliye bemendwa, 3.Tiba ya mama aliyehangaika miaka na miaka kwa ajili ya ujauzito 4.Hupandisha CD4 haraka ๐Ikiwa kuna mtu anasumbuliwa na uzazi chukua mzizi ya huu mti wa Msambila,Mfubata,Mnengonengo,Mwembe pori,Mpilipili/mngando,Msolasi,mbuyu,mshenene,Mtalali twanga kwa pamoja,kwa mwenye kusumbuliwa na uzazi atakunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni haitochukua mwezi mmoja atashika ujauzito. โ๏ธKwa aliye rishwa uchawi chukua ๐ mizizi ya Msambila๐ Mnengonengo ๐Mfubata mchemshie mpe anywe hakika atatapika ama kuharisha. โ๏ธKwa mtoto aliye bemendwa chukua mizizi yake, mizizi ya mfubata, mizizi ya Mnengonengo loweka muogeshe na mpe anywe kidogo ...