DAWA YA KUMKAMATA MCHAWI

Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu.Kumekuwa na shida kwa watu wengi kusumbuliwa na wachawi na kujikuta wanashindwa kuishi kwa amani na kupoteza mwelekeo wa maisha.leo nimewaletea dawa kiboko au tarasimu la kumshika mchawi.Tarasimu hili linapatikana katika kitabu chetu Cha elimu sharifu ambacho unaweza kukipata kwa njia ya kawaida au kwa PDF K
kina Mambo makubwa na hakika utapata kujifunza Mambo mengi na namna ya kutatua shida na changamoto unazo kumbana nazo katika maisha.pia ndugu msomaji ikiwa unahitaji dawa mbalimbali na visimo utapatiwa dawa na utatibiwa kokote ulipo.Kwanza tuone dalili za mtu aliyefanyiwa uchawi.

Dalili za kuwa na uchawi na majini
  • Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
  • Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
  • Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
  • Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
  • Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
  • Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
  • Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
  • Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
  • Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
  • Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
  • Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
  • Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
  • Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
  • Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
  • Kuongea usiku na kupiga kelele
  • Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
  • Kuota uko msituni mara kwa mara
  • Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
  • Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
  • Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
  • Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
  • Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
  • Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla 
  • Kupata stroke zisizoeleweka chanzo chake hasa ukiwa na nafasi na neema kubwa kwenye kazi au biashara au unapoishi
  • Kushindwa kuongea ghafla na kuwa bubu mtu mzima aliyekuwa mzuri kwa kuongea na kushauri watu
  • uume kurudi ndani nakuwa mdogo kama wa mtoto au pili pili na hali ulikuwa na urefu wa kawaida
  • Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla
  • Kuchukia mke au mme na kuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati wengine wanamuona mzuri sana
  • Kusinzia sana na wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi
  • Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari
  • Kupenda kuzini na kulewa mpaka ukaamua kuwa wewe na zinaa, pombe, maisha ndo sehemu ya maisha yako, shetani anakuwa anakuendesha kama gari
  • Kuzama kwenye matatizo makubwa ya kimaisha mara kwa mara na mikosi inakuwa kama ndo sehemu ya maisha yako
  • Kusikia unaitwa jina lako usiku au mchana na mtu aliyekuita humuoni
  • Kushindwa ibada na kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya hupendi na ukiwepo unasinzia mara moja bila kutaka
Tarasimu hyo ni hatari ukiifanya kwa ukamilifu wake itakuwa Kinga ya eneo lako la nyumba  au shambalako hakuna mchawi wala mwizi atakae fika katika eneo lako akifika yatamkuta makubwa.
Ikiwa unahitaji vitabu vyetu mbalimbali Kama,
Elimu sharifu 70,000 Tsh
Fimbo ya mnyonge 125,000
Elimu tarasimu 5000
Hakika ni vitabu vya nguvu vyenye majambo makubwa.



Drsebuse tiba asili
0688772477
0684150612
0765840681
0763314206
Watsapp +255657929022.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba