DAWA YA KUFUNGUA MAMBO

Asalaam alykum warahmatulah wabarakatu nimekua kimya kutokana na majukumu kuwa mengi.


Niwape faida ndugu zangu kwa wale wanaotaka kufungua mambo yao na wafanikiwe katika kile wanachokifanya kwa uwezo wa mwenyezimungu s.w.


Chukua dawa ya nguvu inaitwa nditima au wengine huita nyahenga tumia kuoga asubuhi kabla ya jua kuchomoza na jioni kabla ya jua kuzama ukiweka nia.


Ewe mwenyezimungu nakuomba kupitia dawa yako ya nditima au nyahenga Mambo yangu ya nyooke na nuru iyangaze katika maisha yangu Kama nuru ya jua hili litakalo chomoza naomba utajiri,mji,gari, nyumba na vyote vije kwangu utongezea na mengine unayojua ikifika jioni utaomba tena kwa kusema mabaya yote yazame Kama jua hili linavyo Zama na kila nuksi,na mabalaa yote yazame Mambo yangu ya nyooke na nifanikiwe katika shughuli zangu.




Hakika utaona ajabu ndani yake ni dawa nzuri sana kwa kufungua Mambo.



Drsebuse tiba asili


0765840681

0684150612

0763314206

Watsapp

+255657929022.

Comments

Popular posts from this blog

Faida ya mti wa mjafari/mlungu

Tarasimu ya kuvuta pesa

Tarasimu ya mahaba